LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 3, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU DK. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA BALOZI CHARLES STITH LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Ofisini kwake,  Balozi wa zamani wa Marekani hapa nchini Tanzania, Balozi Charles Stith, alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dar es Salaam, leo Juni 3, 2016
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia na ujumbea aliofuatana nao balozi huyo 
Akiwakaribisha kuketi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Ofisini kwake,  Balozi wa zamani wa Marekani hapa nchini Tanzania, Balozi Charles Stith, alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dar es Salaam, leo Juni 3, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages