MHE. JANUARY MAKAMBA ASHIRIKI MAHAFALI YA 24 YA CHUO CHA BIBLIAMhe.January Makamba Akiwasili chuoni hapo


Akitazama sehemu ya maaandalizi ya bwawa la kufuga samaki


Mhe. January Makamba akijifunza namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwa kutumia udongo wa mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.


Akijifunza historia ya chuo hicho kwa njia ya picha.


Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.