JK RAIS WA KWANZA AFRIKA KUFUNGULIWA MLANGO IKULU YA OBAM


JK alikuwa Rais wa kwanza wa Afrika kufunguliwa mlango Ikulu ya Obama..
Msingi wa mahusiano mazuri kati ya Marekani na Afrika katika utawala wa Obama kwa kiasi kikubwa ulianza kujengwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete. Pichani ni ofisi ya Obama ' Oval Room', alhamisi, Mei 21, 2009. Kati ya Hillary Clinton na Donald Trump, mmoja wao, Trump, ameonyesha wazi kupitia hotuba zake, kuwa hana 'mahaba' na Afrika.