LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 3, 2016

JK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA RAIS WA SAHARA MAGHARIBI

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi ya Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mama Salma Kikwete.

 Mke wa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika ofisi ya Ubalozi wa nchi ya Sahara Magharibi nchini,kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed kilichotokea siku ya tarehe 31,Mei 2016, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikete.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa nchi ya Sahara Magharibi Brahim Salem Buseif nchini mara baada ya kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Abdel Aziz Mohamed.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages