USAFIRI WA MABASI YATUMIAYO NJIA MAALUM JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA KESHO MEI 10, 2016

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) Bw. Giliard Ngewe (Kulia) na Kaimu Mtendaji Mkuu DART Bw. Ronald Lwakatare wakimkabidhi leo leseni ya usafirishaji Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya UDA-RT Bw. David Mgwassa (Katikati).usafiri wa mabasi yatumiayo njia maalum mjini Dar es Salaam, unatarajiwa kuanza kesho, Mei 10, 2016.