RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia tarehe 20 Mei, 2016.