LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2016

MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI PAPUA NEW GUINEA KUMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Belize Bw. Wilfered Eliringron wakati  Makamu wa Rais alipowasili katika Hoteli ya Airways mjini Papua New Guinea. Makamu wa Rais yupo Nchini Papur New Guinea kwa ajili ya kumwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa siku mbili unaotarajiwa kuanza kesho utakaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.  Mkutano huo utahudhuriwa na Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (ACP).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwandaaji Mkuu wa mkutano wa The HL MEETING UN WOMEN unaotarajiwa kufanyika keshokutwa mjini Guinea, Makamu wa Rais  Makamu wa Rais yupo Nchini Papur New Guinea kwa ajili ya kumwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano wa siku mbili unaotarajiwa kuanza kesho utakaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.  Mkutano huo utahudhuriwa na Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (ACP). (Picha na OMR Papua New Guinea)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages