LAPF YATOA MADAWATI 124 KWA MANISPAA YA KINONDONI

Manispaa ya Kinondoni imepokea madawati 124 kutoka kwa LAPF kwa ajili ya kutatua kero ya upungufu wa madawati wilaya ya Kinondoni,Mkurugenzi wa mawasiliano James Mlowe amekabidhi  madawati kwa Mkuu wa Wilaya Mhe.Ally Hapi.Naye mkuu wa wilaya amekabidhi kwa Mwenyekiti wa kamati ya Uchumi,afya na elimu Mhe.Diwani Tungaraza.
Maria.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI