Tuesday, May 3, 2016

KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMARais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia) akifuatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuingia katika ukumbi kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika leo Ikulu ya  Chamwino Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.] 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nd,Majaliwa Kassim Majaliwa wakati wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Kuu ya CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu  Chamwino Mkoani Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wake Rais Msataafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, [Picha na Ikulu.] 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.


 
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.