Tuesday, April 19, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA KIGAMBONI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Aprili, 2016 amefungua rasmi Daraja la Kigamboni linalounganisha usafiri wa barabara kati Kigamboni na Kurasini Jiji la Dar es salaam na amependekeza Daraja hilo liitwe Daraja la Nyerere (Nyerere Bridge).


 Rais John Magufuli akizungumza na wananchi  na viongozi  wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Wanahabari kwa kila mmoja katika sehemu yake
 Wananchi wakimpungia mikono Rais Magufuli wakati alipokua akiondoka mara baada ya Uzinduzi wa Daraja hilo
 Wasanii wa kikundi cha Dar Creators wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni
Rais Magufuli akiwapungia mimkono wananchi wakati alipokuwa akiondoka eneo la Daraja mara baada ya kulizindua
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.