Tuesday, April 12, 2016

OLE SENDEKA AWASILI SINGIDA KUPITIA HANANG

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasii Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani  Manyara akiwa njioni kwenda Singida leo
 Katibu wa CCM wilaya ya Hanang, Kajoro Vyohoroka akimpeleka Ofisini, Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang leo akiwa njiani kwenda Singida
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM  wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM  wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka na kushoto ni Mjumbe wa NEC wa Kigoma, na Ofisa katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda

 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana kwa bashasha na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Manyara, alipowasili kwenye ofisi ya CCM ya wilaya hiyo leo

 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM wa Wilaya ya Hanang, alipofika kwenye ofisi hiyo akiwa njiani kwenda Singida leo 
 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM alipowasili leo, Ofisi ya CCM mkoa wa Singia akiwa katika ziara ya kikazi

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akiongozwa na Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata kwenda ofisini kwake, katika Ofisi ya CCM mkoa huo leo
Msemaji Mkuu wa CCM, na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kaitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida (Martha Mlata (wapili kulia), alipowasili kwenye ofisi hiyo leo akiwa katika ziara ya kikazi. Watatu kulia ni Katibu wa CCM mkoa Mary Maziku na kushoto ni Mjumbe wa NEC Kigoma na Ofisa katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM Kilumbe Ng'enda.
 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka akitoka katika Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Vijijini, Narumba Hanje kwenye  ukumbi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii (FDC) mjini Singida alipowasili kuzungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Singida Mjini na singida Vijijini leo
 Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akitoa maneno ya utangulizi kwenye kikao hicho
 Baadhi ya wajumbe wakiwa ukumbini
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Martha Mlata akiteta jambo na Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda wakati wa kikao hicho
  Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akitoa maneno ya utangulizi kwenye kikao hicho
 Msemaji Mkuu wa CCM Christophe Ole Sendeka akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata wakati wa kikao hicho
 Mjumbe wa NEC wa Kigoma na Ofsa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng'enda akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Ole Sendeka kuzungumza katika kikao hicho

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singda Martha Mlata akimkaribisha kuzungumza, Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka  wakati wa kikao hicho na wajumbe wa Halmashauri KUU ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo.
 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka  akizungumza na  wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo
 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka  akizungumza na  wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo Picha zote na Bashir Nkoromo). PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.