Thursday, April 14, 2016

OLE SENDEKA AISHIKA MOSHI KATIKA MKOA WA KILIMANJARO LEO

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo chana
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma maalum na kinamama wa Mjini Moshi alipowasili kuhutubia mkutanowa hadhara katika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo
 Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu  ambaye ameshinda kesi ya Udiwani katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wakati wa mkutnao wa hadhara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka uliuofanyika katika eneo hilo la Bomambuzi leo.
 Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa mkoa wa Kilimanjaro Mercy Siro (katikati) akiwa kwenye mkutano huo wa hadhara
 Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
  Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng'enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma akimkaribisha kuzungumza Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipanda jukwaani kuhutubia mkutnao wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo
 Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
 Mfanyabiashara katika soko la Pasua, akimsikiliza kwa makini Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka wakati wa mkutano wa hadahara uliofanyika eneo la Bomambuzi, mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
 Wananchi wakimsikiliza Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
 Wananchi wakimshangilia Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
 "Baada ya kumalizika uchaguzi Mkuu na CCM kupewa idhini na wananchi kuunda serikali ya kuongoza nchini, sasa ilani hii ndiyo inayotekelezwa nchini kote" akisema Msemaji Mkuu wa CCM, Christpher Ole Sendeka huku akionyesha kitabu cha ilani hiyo, alipohutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bpmambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
 Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanywa na Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akionyesha hisia zake za kuvutiwa na hotuba.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akionyeshana jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Juma Raibu, kenye mtandao kupitia simu, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo. Raibu ambaye alikuwa mgombea wa Udiwani Kata ya Bomambuzi, alimweleza Ole Sendeka kuwa ameibuka mshindi katika kesi ya kupinga matokeo 
 Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo.
 Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara aliofanya eneo la Bomang'ombe, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanajaro leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.