MWENYEKITI WA CCM NA RAIS MSTAAFU MHE. DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE ZIARANI NCHINI CHINA.Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi {CCM} na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete yuko nchini China kwa ziara ya kikazi ya siku sita (6) iliyoanza Aprili 17 mpaka  April 23, 2016.