Monday, April 25, 2016

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA ALLY HASSAN MWINYI
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akikagua matengenezo ya  barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016 jijini Dar  es Salaam.

 Mkuu wa wilaya Kinondoni Ally Salum Hapi wa kwanza kulia akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa barabara ya Ali Hassani Mwinyi Halipo tembelea leo kuona maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo


Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mhe. Ally Hapi akiwa na wafanyakazi wa MS ESTIM CONSTRUCTION CO.LTD


Mkuu wa wilaya Mhe.Ally Hapi akiongea na msimamizi wa ujenzi.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi kushoto akiwa na meneja wa Tanroad katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi leo tarehe 25 Aprili 2016
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.