ANDIKO LA RAIS MSTAAFU DK. JAKAYA KIKWETE KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MALARIA DUNIANI

Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ametoa andiko lake kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani. andiko hilo ambalo ameliandika kwa lugha ya Kiingereza na ambalo limo katika Tovuti ya gazeti la Huffington Post, Dk. Kikwete anasema " When I was President of Tanzania, I remember visiting a district where 70 percent of the children were absent from school. They told me the problem was malaria. I sent my minister of health to investigate, and he confirmed it was true: a majority of children were missing school and falling behind because they had malaria. That was a wake-up call for all of us..." Kusoma zaidi andiko hilo Tafadhali> BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau, Uwanja huu ni wako, Toa maoni yako yasaidie kujua wewe unafikiri nini kifanyike kuboresha zaidi maisha ya Watanzania. Maoni yako yasilenge kuchochea mtafaruku katika jamii, kisiasa, kidini, kikabila au kijinsia. Mawasiliano yetu:- simu +255 (0) 712 498008, Email: nkoromo@gmail.com.
Bashir Nkoromo
Msimamizi Mkuu, Blog ya Taifa ya CCM.