Thursday, March 3, 2016

UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MKUU WA NSSF WATENGULIWATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mheshimiwa Jenister Joakim Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Jijini Dar es salaam.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa usiku huu, imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu.
Kulingana na Taarifa hiyo, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.