Wednesday, March 9, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMLAKI RAIS WA VIETNAM MHE. TRUONG TANG SANG IKULU JIJINI DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kwa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakati wa Wimbo ya Taifa ukiwa unapigwa Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akikagua gwaride la heshima katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.

Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi na wafanyakazi wa Ikulu mara baada ya kuwasili.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang wakati walipokuwa wanazungumza Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Mazungumzo Rasmi kati ya ujumbe wa Tanzania na Ujumbe wa Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzungumza na wanahabari hawapo pichani Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari hawapo pichani kuhusu mazungumzo yao na Rais wa Vietnam Mhe. Truong Tang Sang Ikulu jijini Dar es Salaam.


Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.