Monday, March 14, 2016

NAPE AWATA VIONGOZI WA VIJIJI KUTOJIHUSISHA NA KUUZA ARDHI YA WANANCHI HOVYO

 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sudi kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo ameshafanya mpaka sasa.
 Diwani wa kata ya Sudi Bw. Ali Athumani Njai akizungumza kwenye mkutano na wananchi wa kijiji cha Sudi ambapo aliwaambia kuwa huu ni wakati wa kushirikiana na kufanya kazi za maendeleo pamoja.
Wakazi wa kijiji cha Sudi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia jengo la mahakama (halitumiki kwa sasa) la mwaka 1939 lililopo kwenye kijiji cha Sudi.
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na Diwani wa kata ya Sudi Ndugu Ali Athumani Njai mara baada ya kutembelea majengo ya serikali ya kijiji ambayo hayatumiki kwa sasa.
 Wakazi wa Mtama wakimpokea Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye wakati alipokuwa akiwasili kwenye eneo la mkutano nje ya ofisi za Mbunge Jimbo.
 Kikundi cha Hamasa kikiimba nyimbo za kumkaribisha Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyeakihutubia wakazi wa kata ya Mtama na Majengo .
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauyeakihutubia wakazi wa kata ya mtama waliojitokeza kumsikiliza nje ya ofisi za Mbunge aliwaambia wananchi hao kuwa makini katika masuala ya kuuza ardhi hovyo .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.