Monday, March 14, 2016

NAPE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro, Nape aliwataka maafisa habari
Meneja wa Mawasiliano wa TCRA Ndugu Innocent Mungi (kulia) akizungumzia umuhimu wa kuwezeshwa kwa vifaa na elimu inayoendana na nyakati kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipitia kwa umakini baadhi ya nyaraka zenye hoja za kuboresha ,kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro mjini Ndugu Afred Shayo wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.
Sehemu ya wadau waliohudhuria  na kushiriki kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.
 Maafisa wa Habari na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na washiriki wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.