Sunday, March 6, 2016

MBUNGE MAGIGE AKABIDHI OFISI YA UWT MARA BAADA YA KUIKARABATI

 Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige, leo amekabidhi ofisi ya UWT mkoa wa Arusha ambayo amefanyia ukarabati na kuweka vitu vya thamani iliyogharimu shilingi milioni 6 na nusu. 
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Arusha Flora Zelothe akimpa mkono Mhe. Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige mara baada ya makabidhiano ya vitu vya ofisi vyenye thamani ya shilingi milioni 6.5. Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akicheza ngoma na viongozi wa UWT mkoa wa Arusha mara baada ya kukabidhi ofisi ya UWT aliyokarabati kwa gaharama ya shilingi milioni 6.5 ,ambapo ofisi imepakwa rangi ,kuwekwa tiles , viti, meza , amakabati pamoja na TV.
Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wajumbe wa UWT mkoani Arusha.

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.