MAZIKO YA ALI MSUKO KATIBU MSAIDIZI MKUU UENEZI CCM ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwaswalia Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu  msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi na pamoja na Marium Ramadhan Haji aliyekuwa Mwandishi wa ZBC,maziko yao yalifanyika leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja,[Picha  na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)  pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakitikia dua iliyoombwa baada ya maziko ya  Marehemu Ali Mwinyi Msuko aliyekuwa Katibu  msaidizi Mkuu wa Idara ya Uenezi Chama cha Mapinduzi CCM aliyezikwa leo kijijini kwao Uroa Dikoni Wilaya ya Kati Unguja,[Picha  na Ikulu.]