LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 21, 2016

MATOKEO YA ZANZIBAR YATANGAZWA


 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa makofi wakati alipotangazwa kuwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha  katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa   Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]



No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages