Wednesday, March 16, 2016

MAJALIWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MGOGORO WA MASHAMBA NGARA

 Afisa Ardhi wa  Wilaya ya Ngara, Betty Munuo wa Pili kushoto na Mwenyekiti wa kijiji cha  Rwakalaman, Brighton  Kemkimba  (kulia) wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipozunguma katika kijiji cha   Kasulo wilayani  Ngara  machi16, 2016
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipitia majina ya watu wanaomiliki ardhi  kubwa katika  vijiji vya kasharaza na Rwakalemela wilayani Ngara aliyokabidhiwa na Afisa Ardhi wa wilaya hiyo Betty munuo katika mkutano aliohutubia kwenye kijiji cha Kasulo wilyani Ngara Machi 16, 2016.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.