MA RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA UMOJA WA TAIFA LA KUHUDUMIA WAKIMBIZI UNHCR ANAYEMALIZA MUDA WAKE BI. JOYCE MENDS-COLE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR anayemaliza muda wake Bi. Joyce Mends-Cole Ikulu jijini Dar es Salaam.