Friday, March 4, 2016

DK.SHEIN ATEMBELEA MASKANI YA KISONGE ZANZIBAR


 Kontena la Maskani ya kisonge Mjini Unguja laripiliwa kwa bomu na watu wasiojulikanwa usiku wa jana,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shei akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Maskani ya Kisonge John Mwakanjuki leo wakati alipotembelea maskani hiyo baada ya kupata hasara kubwa ya mripuko wa bomu na watu wasiojuilikanwa usiku wa jana,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto)  akiangalia  hasara iliyopatikana katika Maskani ya Kisonge  iliyotokea jana kwa  mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa, (wa pili kushoto) John Mwakanjuki alipotoa maelezo zaaidi kuhu tukio hilo leo wakati alipotembelea maskani hiyo ,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto)  akizungumza na wanachama wa CCM na wapenda amani wakati alipofika katika Maskani ya Kisonge Mjini Unguja leo kuangalia  hasara iliyopatikana kutokana na mripuko wa bomu uliosababishwa na watu wasiojuilikanwa jana usiku,[Picha na Ikulu.]
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.