LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2016

CARE FOUNDATION TANZANIA NA MAHARASHTRA MANDAL TANZANIA WATOA BURE HUDUMA YA MACHO KATIKA KAMBI MAALUM, JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kambi maalum ya kutoa huduma ya bure ya vipimo na matibabu ya macho, juzi katika Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam.  Wengine meza kuu ni wadau walioshiriki kuandaa huduma hiyo, akiwemo Mwanzilishi Mwenza wa Care Foundation Tanzania, Shadab Choughule (Wapili kushoto) na Kamanda wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik Choughule (wapili kulia) na watatu kulia ni Mbunge wa Ilala Azzan Zungu.
  Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala akipewa maelezo kuhusu wataalam wanavyotoa huduma hizo.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala akipewa maelezo kuhusu wataalam wanavyotoa huduma hizo.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala akipimwa presha kabla ya kupatiwa huduma kama sehemu ya uzinduzi wa huduma hiyo ya bure ya vipimo na matibabu ya macho kwa wananchi. 
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala akipimwa macho kama sehemu ya uzinduzi wa huduma hiyo. Waliosimama, kulia ni Kamanda wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik na Mbunge wa Ilala Azza Zungu.
 Kamanda wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik akimpima miwani mmoja wa wananchi waliofika kupata huduma hiyo ya bure ya vipimo na matibabu ya macho
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala akishauriana jambo na Mbunge wa Ilala Azzan Zungu na Kamanda wa Vijana Kata ya Kivukoni, Sharik, kabla ya kuondoka baada ya kuzindua huduma hiyo ya vipimo na matibabu bure ya macho
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangala , akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waliowezesha huduma hiyo ya bure ya vipimo na matibabu ya macho.
Huduma zikiendelea.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages