Monday, February 15, 2016

RAIS DK. MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MABALOZI WAPYA WATATU, MAKAMISHNA WANNE WA POLISI NA KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA

Na Bashir Nkoromo, Dar
Rais Dk. John Magufuli amewateua, Dk. Asha-Rose Migiro, Mathias Chikawe na Dk. Ramadhani Dau kuwa Mabalozi wa Tanzania katika Nchi za Nje.

Kadhalika, Rais Dk. Magufuli akiwateua wanne kuwa Makamishna wa Polisi na mmoja akimteua kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) 

Ifuatayo ni Taarifa ya Ikulu, Kama ilivyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, baada ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue kutangaza uteuzi huo, leo, Ikulu mjii Dar es Salaam.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.