LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2016

MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY ARUHUSIWA TOKA HOSPITALINI



Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakary Zubeiry bin Ally, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani )  na
Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo na ya Kiislamu wanaounda kamati ya Amani walipofika katika  Hopisitali ya Taifa Muhimbili kumjulia baada ya kupata ruhusa kutoka katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCT) ambapo alianza kwa kumshukuru
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimwagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu afikishe salamu hizo na kwa  Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa na pamoja na wote waliofika kumjulia hali na mungu awaongoze na Rais awaangalie madaktari kwa jicho la tatu na awaongezee uwezo, hayo yalizungumzwa na mufti wakati waziri huyo alizipofika  kwa niaba ya Serikali na kuahidi salamu hizo zitamfikia Rais Magufuli. mwisho  mufti aliwashukuru waandishi wa habari kwa wao kufika mara kwa mara kumjulia hali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)






 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji  wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete  (JKCT) akimkaribisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu kwaniaba ya Serikali kwa kuzungumza na waandishi wa habari na viongozi wa kidini
 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima (katikati) akiwa na wenzake waliofika kumjulia hali Mufti
 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila  akisoma maelezo kwa niamba ya familia ya Mufti







No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages