LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2016

MHE. NAPE AMTEMBELEA ATHUMANI HAMISI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam.
Athumani Hamisi  alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo akisalimiana na Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam, kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye.
Athumani Hamisi  alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi.
 Athumani Hamisi akizungumza machache juu ya hali yake inavyoendelea mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimjulia hali Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam, kushoto ni mtoto wake wa kwanza Msafiri Athumani na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Glogal Publishers Ndugu Eric Shigongo.
Athumani Hamisi  alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza waandishi wa habari ambapo alisema Serikali itaendelea kumsaidia Athumani Hamisi na kutafuta suluhisho la kudumu.
Athumani Hamisi  alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanyakazi
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Glogal Publishers Ndugu Eric Shigongo akiagana na Mtoto wa kwanza wa Athumani Hamisi anayeitwa Msafiri Athumani.

Waziri wa Habari utamaduni Sanaa na michezo Nape Nauye ameahidi kutatua changamoto zinazomkabili aliyekuwa mpiga Picha na mwandishi mwandamizi Athumani Hamis.               Wazir Nape ametoa kauli hiyo alipomtembelea nyumbani kwake , Sinza Dar es salaam  akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Global Publisher Eric Shigongo. Waziri Nape ameamua kumtembelea Athmani kutokana na kutambua mchango wake kwenye tasnia ya habari ambapo aliitumikia  kwa muda mrefu kabla ya kupata ulemavu.    "Amefanya Kazi kubwa serikalini, sisi kama serikali tunao wajibu wa kumsaidia".     "Nimechukua Yale yote ambayo yanachangamoto kwake na tunachukua uamuzi wa kumsaidia,"alisema Wazir Nape.
 Waziri Nape amempongeza Rais MstaafuJakaya Kikwete kwa kumsaidia Athmani katika kipindi chote cha uongozi wake na kwamba yeye kama Waziri mwenye dhamana kwa kushirikiana na wadau wengine wataendelea kutoa msaada kwa Athmani na familia yake. 
 Pia Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ndugu Eric Shigongo ametoa wito kwa Watanzania kutoa msaada kwa moyo mmoja.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages