LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 18, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA SHIRIKISHO LA MICHEZO (SHIMMUTA



mak1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Uongozi wa shirikisho la michezo la mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi (SHIMMUTA) ulioongozwa na Mwenyekiti wa shirikisho hilo Khamis Mkanachi, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam  Februari 17, 2016.
mak2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika Picha ya pamoja na uongozi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma Taasisi na Makampuni Binafsi wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam  Februari 17, 2016. (Picha na OMR)
mak3

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages