Wednesday, February 3, 2016

KINANA AWASILI SINGIDA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM YATAYOFIKIA KILELE SIKU YA TAREHE 6 KWENYE UWANJA WA NAMFUA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida .
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akilakiwa na wakina mama makada wa CCM waliojitokeza kuwapokea yeye pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambao wamewasili mkoani Singida tayari kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani humo.
 Wakina mama wa CCM Singida mjini wakishangilia bila kujali mvua wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza  na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone mara baada ya kuwasili mkoani Singida tayari kwa shughuli za maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Singida 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.