KADA WA CCM SALUM HAPI ATOA PONGEZI KWA UTEUZI WA MAMA MIGIROBinafsi kama kada na mwanachama wa CCM, napenda kutoa pongezi za dhati kwa Katibu wa NEC SIASA na Uhusiano wa Kimataifa Dr. Asha-rose Migiro kwa kuteuliwa na mh. Rais Dr. Magufuli kuwa Balozi. Uteuzi huu ni heshima kwa Dr. Migiro na kwa Chama Cha Mapinduzi kwa ujumla. Tunamtakia kila la kheri na utumishi mwema katika majukumu atakayopangiwa na Mh. Rais.
BOFYA HAPA INAENDELEA