Sunday, February 7, 2016

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma.
 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma, wengine pichani ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula (kulia), Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kushoto) na anayeonekana kwa nyuma ni Balozi Seif Idd.
 
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu wakifuatilia kwa makini ajenda zilizowasilishwa kwenye kikao maalum kutoka kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dkt. Asha-Rose Migiro, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mhe. Nape Nnauye na Jerry Silaa.Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.