HABARI MPYA

Your Ad Spot

Feb 7, 2016

HABARI KATIKA PICHA: MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KUZALIWA KWA CCM AMBAZO NI ZA MWISHO KWAKE AKIWA MWENYEKITI

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwapungua mkono wananchi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Namfua mjini Singida jana, katika Kilele cha Sherehe za Maashimisho ya miaka 39 ya CCM. Kwa mujibu wa maelezo yake, Sherehe hizo kwake ni za Mwisho akiwa Mwenyeiti wa Chama Cha Mainduzi. endelea kutazama picha zaidi>>>>
 >
 >
 >
>
 PICHA ZAIDI INGIA UKURASA WETU WA MATUKIO>BOFYA HAPA TU

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages