LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 22, 2016

DK SHEIN AZUNGUMZA NA UVCCM MKOA WA MJINI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mjini kichama leo katika ukumbi wa CCM Amani Mjini Unguja na kuwataka Vijana kulinda Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar,ikiwa ni katika hatua za uimarishaji wa Chama cha Mapinduzi,[Picha na Ikulu.]

3 comments:

  1. Naomba taarifa kama hizi zinapotolea bac ni vizur kutaja na viongozi waliohusika katika sherehe hizo...
    Kama vile angalau mwenyekiti na katibu wa mkoa wa mjini wa UVCCM

    ReplyDelete
  2. Mwenyekiti wa uvccm mkoa wa mjini ni nani?

    ReplyDelete
  3. Naomba taarifa kama hizi zinapotolea bac ni vizur kutaja na viongozi waliohusika katika sherehe hizo...
    Kama vile angalau mwenyekiti na katibu wa mkoa wa mjini wa UVCCM

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages