TANZIA: GEORGE SEBO MWENYEKITI WA CCM DMV HATUNAE TENAAliyekuwa Mwenyekiti tawi la CCM DMV Bw. George Sebo enzi za uhai wake

George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV amefariki Dunia muda si mrefu Katika hospitali ya Prince George