Thursday, January 21, 2016

NAPE AKUTANA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA KUZALIWA KWA CCM MKOANI SINGIDA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo Kitaifa yatafanyika mkoani Singida.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisisitiza jambo mbele ya wajumbe wa kamati ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye kikao kilichofanyika kwenye ofisi za CCM mkoani Singida.
Wajumbe wa kamati ya maadhimisho miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo Kitaifa yatafanyika mkoani Singida wakimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mhe. Nape Nnauye.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe. Nape Nnauye akikagua uwanja utakaotumika kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambayo Kitaifa yatafanyika mkoani Singida.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe. Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuukagua uwanja wa Namfua ambao utatumika kwa maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Singida tarehe 6 februari 2016.
Mkuu wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mhe. Nape Nnauye mara baada ya kuukagua uwanja wa Namfua ambao maadhimisho ya kitaifa ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatafanyika.
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.