NAPE AKITUMBUIZA PAMOJA NA VIJANA WA MUZIKI WA HIP HOP KUTOKA KASKAZINI WANAOJULIKANA KAMA WEUSI


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewaambia wasanii kufanya kazi zenye ubora kwani kazi zao zitaangaliwa na  nchi nyingi kupitia kituo cha Clouds TV ambacho kinapatika kwenye chaneli 294 kwenye ving'amuzi vya DSTV.