Saturday, January 16, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA KUDUMU WA MAREKANI KATIKA UKANDA WA MAZIWA MAKUU, LEO

MWENYEKITI wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumbe Maalum wa Marekani katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Thomas Perriello, baada ya mazungumzo yao kuhusu hali ya Burundi, yaliyofanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.