Sunday, January 31, 2016

MHE. NAPE AIPONGEZA BLOG YA VIJIMAMBO KWA KUTIMIZA MIAKA 6Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye  leo ametuma salaam zapongezi kwa blog ya Vijimambo ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake akizungumza na mwandishi wa habari hii Mhe. Nape alisema

"Napenda kuipongeza blog ya Vijimambo kwa kutimiza miaka 6.

Blog ya Vijimambo imekuwa mstari wa mbele kwa kutoa habari za uhakika na kwa wakati.

Pia imekuwa daraja zuri kati ya nchi yetu na Watanzania na wapenda Kiswahili duniani.

Imekuwa na mchango mkubwa  katika kupeleka utamaduni wa kitanzania nje ya nchi yetu!
Nawatakia kila la heri na mafanikio mema".
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.