LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 15, 2016

MANGULA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA CHINA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.

  MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China. 
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages