RAIS WA AWAMU YA TANO YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK. JOHN POMBE MAGUFULI

 Dk. John Pombe Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman kwenye sherehe fupi zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiinua mkuki na ngao juu mara baada ya kuapishwa kwenye uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI