TIMU BAJAJI YATIKISA KAHAMA

 Timu Bajaji ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua kahama wakizungumza na vijana wa Soko kuu la kahama na badae kuungana na Kishimba mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini kupitia CCM.