TANGAZO KUTOKA DW

 
TANGAZO MUHIMU
Wapendwa watumiaji wa ukurasa wetu wa Facebook na wasikilizaji kwa jumla.
Kuna ujumbe unaosambazwa kwa njia wa Whatsapp katika mitandao ya kijamii kwamba DW inakusanya maoni kuhusu wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa Tanzania, John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Tungependa kuwajulisha hatufanyi utafiti wowote wa maoni kuhusu wagombea.
Ahsanteni.