Thursday, October 29, 2015

SALAAM ZA PONGEZI TOKA CCM TAWI LA UINGEREZA"CCM TAWI LA UINGEREZA Linatoa Pongezi nyingi sana kwa ushindi mkubwa aliyopata mgombea wetu wa urais Dr. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wabunge, madiwani na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ushindi huu mkubwa.

CHAMA CHA MAPINDUZI - UINGEREZA."
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.