RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.