NIMESTUKA WAWASTUA WAKAZI WA GEITA PAMOJA NA MAMA SAMIAWasnii wa Timu NIMESTUKA, Juma Nature, Inzpector Harun, Rich One na wengine wakiwaburudisha wananchi wa Geita.
Wasnii wa Timu NIMESTUKA wakiwaburudisha wananchi wa Geita.
Mchekeshaji, Mboto akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Geita
Mchekeshaji, Kitale akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Geita
Wananchi wa Geita waliohudhuria mkutano
Msanii, Aunt Ezekiel akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Geita
Wasnii, Ray Kigosina Aunt Ezekielwakiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kampeni mkoani Geita
Picha Zote na Sule Junior