Thursday, October 8, 2015

MAMA SAMIA SULUHU HASSA ANZA KUSHAMBULIA KWA KAMPENI LEO BAADHI YA MAJIMBO MKOANI MWANZA

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
 Mwananchi akiwa na bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Kisasa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 MAAJABU: Mbwa aliyekuwa katikakati ya wananchi akipiga push Up 'kumuiga' Mgombea  Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza, Mama samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Msanii wa Bongo Movie anayeunda kundi la Mama Ongea na Mwanao la kupiga kampeni za CCM, Wema Sepetu, akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Magu, Kiswaga Destery katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Kisesa mkoani Mwanza , leo.
 Wagombea Udiwani jimbo la Magu, wakiwasalimia wananchi walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Katika mkutano wa kampeni uliofayika leo katika eneo la Kisesa mkoani Mwanza.
 Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
 Kijana akiwa na bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza.
 Mgombea Ubuge jimbo la Misungwi, Mansoor Hirani, akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mwanza


 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo akimkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan kuhutubia mkutano wa kampeni uliofayika leo katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
 Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu akijadili jambo na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katka eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimnadi Mgombea Ubuge jimbo la Misungwi, Mansoor Hirani katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Mwanza. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.