Friday, October 2, 2015

MAMA SAMIA AWASHA MOTO MAJIMBO YA SERENGETI NA MWIBARA MKOANI MARA

 Wananchi wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mama Samia, uliofanyika  Oktoba 1, 2015, katika Viwanja vya Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
 Wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu  Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mugumu jimbo la Serengeti mkoani Mara
 Mgombea Ubunge jimbo Dk. Kebwe Stephen Kebwe, Serengeti mkoani Mara, akiomba kura katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika katika jimbo hilo, jana, Oktoba 1, 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Christopher Sanya.
 Wananchi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu, jimbo la Serengeti mkoani Mara, Oktoba 1, 2015
 Mama Samia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu katika jimbo la Serengeti mkoani Mara
 Kijana akifuatilia hotuba ya Mama Samia kwenye mkutano wa kampeni wa jimbo la Serengeti mkoani Mara
 Ukarimu wa Serengeti
 Mwananchi akimsikiliza Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mugumu, jimbo la Serengeti mkoani Mara, jana Oktoba 1, 2015.
 Mwananchi mwenye ulemavu, akimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, aliposimama kwa muda kusalimia wananchi katika eneo la Mugeta, jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, Oktoba 1, 2015
 Wananchi akiwa wamezuia msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan, katika eneo la Natta, ukitoka Mugumu kwenda Kisorya, Bunda mkoani Mara.
 Mgomea Ubunge jimbo la Bunda Vijijini mkoani Mara, Boniface Mwita Getere akiomba kura, wakati msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), uiposimamishwa na wananchi katika eneo la Mugeta, katika jimbo hilo, jana, Oktoba 1, 2015.


 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimsalimia Mgombea Ubunge Jimbo la Mwibara, Kangi Ligora, alipowasili kufanya mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya mnadani, katika jimbo hilo, jana, Oktoba 1, 2015. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara, Joshua Mirume.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnadani wa Kisorya, kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Mwibara, wilaya ya Bunda mkoani Mara, jana, Oktoba 1, 2015.Share:

KUCHAGUA LUGHA

IDADI YA WATU AMBAO HUTEMBELEA BLOGU HII

KUMBUKUMBU ZA POSTI ZOTE

JISAJILI UPATE TAARIFA KWA EMAIL

Jisajili ili upate taarifa kwa email

Google+ Followers

Powered by Blogger.