Monday, October 5, 2015

MAGUFULI ATINGA KARATU MAELFU WAFURIKA KUMSIKILIZA

 Umati wa wakazi wa mji wa Karatu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye Viwanja vya Bwawani, Karatu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Karatu ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anagombea urais ili aweze kuwatumikia Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama.
 Sehemu ya Umati ya wakazi wa Karatu wakifuatilia mkutano wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea wa ubunge jimbo la Karatu Dk.Wilbald Slaa Lorri kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Karatu Dk.Wilbald Slaa Lorri kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
 Wabunge wa viti maalum wanaowakilisha wanawake watarajiwa kutoka CCM  kutoka mkoa wa Arusha, kushoto ni Catherine Magige na Violet Mfuko.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwatambulisha wabunge watarajiwa wa viti maalum mkoa wa Arusha kwa wakazi wa Karatu kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Bwawani,Karatu.
 Mbunge mtarajiwa kutoka mkoa wa Arusha Ndugu Violet Mfuko akiwasalimu wakazi wa Karatu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli (katikati) akiwa pamoja na Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Longido Ndugu Lekule Michael Laizer (kulia) na Mgombea Ubunge jimbo la Karatu Dk. Wilbald Slaa Lorri wakati wa mkutano wa kampeni ukiendelea mjini Karatu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akicheza muziki na wanamuziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Chegge na Temba mara baada ya kumaliza kuhutubia.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Karatu ambapo kesho anategemea kuhutubia wakazi wa Arusha mjini.
 Mgombea ubunge wa jimbo la Hanang kupitia CCM Dk. Mary Nagu akihutubia wakazi wa Katesh waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambazo Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia pia.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaji Abdallah Bulembo akionyesha mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa wananchi wa Katesh waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Katesh waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Wakazi wa Katesh


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Hanang, Dk. Mary Nagu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya CCM Katesh.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisaidia kutoa elimu kwa wapiga kura akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Abdalla Bulembo, kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Dk. Mary Nagu.
 Wananchi wa Katesh wakisikiliza mkutano wa kampeni za CCM
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipokea kadi kutoka kwa mwanachama wa Chadema aliyeamua kurudi CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Basutu Ndugu Samuel Qawoga.

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo akitoa elimu ya kupiga kura kwenye karatasi ya mfano wakati wa mkutano wa kuinadi ilani ya Chama pamoja na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Hydom
 Hivi ndio ilivyokuwa watu wakisikiliza hotuba za viongozi wa CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mbulu Vijijini Fratei Masay kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Hydom.
 Mgombea ubunge wa jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Fratei Masay akiomba kura kwa rais ,ubunge na madiwani.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha majani aliopewa kata ya Kansay.
 Jembe na Numbo.
 Mbulu ilivyofurika.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbulu kwenye mkutano wa kampeni za CCM
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mbulu.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mbulu mjini Ndugu Zakaria Paulo Isaya.
Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

Powered by Blogger.